MWONGOZO WA KIGOGO NOTES

MWONGOZO WA KIGOGO NOTES

MTIRIRIKO;

ONYESHO LA KWANZA.

TENDO LA KWANZA.

Ni katika karakana ya soko la Chapakazi,Sudi, Boza na Kombe wanafanya kazi ya uchongaji.Sudi amefungulia radio huku wakiendelea na kazi yao.Ashua anawaletea chai ya mkandaa na mahamri na kuondoka.

Habari inatolewa kwa wananchi wa Sagamoyo kuwa wana kipindi cha mwezi mzima kusheherekea uhuru wao, wawaku buke majagina wao waliopigania uhuru na kuwanasua kutoka utumwani, wimbo wa kizalendo unachezwa mara kwa mara.


Sudi anatofautiana na mpango wa kusheherekea uhuru kwa mwezi mzima;kwake majagina wanaosheherekewa hawakufanya lolote katika historia ya Sagamoyo.

Kuna uchafuzi wa mazingira, viongozi hawajawajibika kusafisha soko wanadai kodi na kitu juu pia vitisho kwa wanasagamoyo.

WAZO KUU.

Kuna wale ambao wanaunga viongozi mkono kwa sababu wanafumbwa kwa mambo yasiyo ya kimsingi.Aidha kuna wale ambao wamezinduka na kuhisi kuwa viongozi hawajawajibika. Sudi haoni umuhimu wa  sherehe za uhuru kupewa maandalizi ya kifahali na kipindi cha mwezi mzima.


For more ..


Click here to download whole MWONGOZO WA KIGOGO NOTES